Social Icons

Pages

Friday, September 17, 2010

Mpemba na Mchagaaaaa

Mpemba mmoja wa Bongo, alisafiri safari ya Mbali kwenda kwenye mji Mzuri kuliko wote wa Tanzania kutafuta Mchumba. Alisha fanyaga research ya wanawake wazuri bongo, akasikia kuhusu watoto wakitanga, wahaya, watoto wakiny'akusya, wahehe nakadhalika.
Lakini kati ya hao wote, sifa za wachaga zili mpagawisha Kijana huyo wa kipemba akaamua kwenda kujionea mwenye na ikiwezekana amwowe mtoto wa Kichagaaa.
Kijana alisha sikia wachagaa wana akili, lighter skin, wazuri kimwili na tabia.
Kijana alifunga safari kutokea Zanzibar mpaka Kilimanjaro.
Alivyofika mji mkuu wa Kilimanjaro Moshi, alipapenda kwakeli.
Hali ya hewa nzuri, mandhari ya kuvutia, na hata watu wake wazuri.

Vijimambo~
Mtoto wa Kipemba kajipatia mwanamke wa Kichagaa.
Wako katika majambozi, mtoto wakichaga, ana shoutiiiiiii, "Yesuuuuuuuuuu na Maria, Yesuuuuu....."
Mpemba kwaajili ni Muislamu anashtukaaaaa, "Yesuuuuu, Yesuuuuu yuko wapi? Yu kwapi"
Msichana anazidi kupiga kelele, "Yesuuuuu weeeeee, Yesuuuuuu wanguuuu"
ah ah ah ah ah ah ah ha!
Mpaka mwishoni ,wishoni Kijana wa kipemba akaondoka, akarudi Zanzibar akawaambia marafiki zake.
Waleee wasichana wa Kichagaaaa, Ovyoo sana, yaani mi nipo nae, anataja majina ya Wanaumee wake wengine ukoooo. Sasa sijui huyo Yesu, kamficha uvunguni, ili nikiondoka awe nae.
Hawafai kabisa wale, wazuri, ila wanawanaume wengiii sana, mpaka wanashout majina yao wakati upo nao wewe.........
ah aha ha ha hahaa h !

Original Comedy
By Princesslumy~

1 comment:

Anonymous said...

Buhahahhaha! u r somthing else!!! jamani mbavu zangu