Social Icons

Pages

Saturday, August 27, 2011

KISWAHILI MISCOSOFT 7

http://www.microsoft.com/downloads/details.aspx?FamilyID=cfec65b7-131c-440f-953f-43731fdabb8b&displaylang=sw

Mahitaji ya Mfumo

  • Mifumo ya Uendeshaji Inayokubaliwa: Windows 7; Windows Vista; Windows XP
  • Programu i/zinahitajika: Toleo lolote au nakala ya kipekee ya Microsoft Office 2010 iliyo na programu-tumizi mojawapo au zaidi zifuatazo: Excel, OneNote, Outlook, PowerPoint au Word.
  • Mahitaji ya nafasi diski: Zaidi ya nafasi ya diski kuu iliyotumika katika kusakinishwa kwa programu za Office 2010 kwa sasa, ni lazima megabaiti (MB) 20 za nafasi ya diski kuu zipatikane.

Maagizo

Ili kusakinisha kipakuzi hiki:
  1. Pakua faili la LanguageInterfacePack.exe kwa kubofya kitufe cha Pakua (hapo juu) na kuhifadhi faili katika diski kuu yako
  2. Bofya mara mbili faili la programu LanguageInterfacePack.exe katika diski kuu yako ili kuanza programu ya Usanidi.
  3. Fuata maagizo katika skrini ili kumaliza usakinishaji.
  4. Baada ya kusakinishwa, faili Nisome lako la Microsoft Office 2010 Language Interface Pack linaweza kupatikana katika C:\Program Files\Common Files\microsoft shared\OFFICE14\LCID\LIPread.htm
  5. Upandishaji daraja wa Office 2007 na Office 2010 Language Interface Pack 2007, au toleo kabla ya Office 2010 na Office Language Interface Pack 2010, hautegemezwi. Kama unataka kupandisha daraja la usakinishaji wa msingi wa Office 2007 hadi uwe na Office 2010 pamoja na Office Language Interface Pack 2010, unahitajika:
    • Sakinusha Office 2007 Language Interface Pack
    • Endesha usanidi wa Office 2010 na chagua chaguo la kupandisha daraja.
    • Wakati usanidi wa Office 2010 umekamilika, sakinisha na sanidi Office 2010 Language Interface Pack
    • Kuamilisha bidhaa yako ya Office:
    • Kama unalo tatizo katika kusoma Msimbo wa Usakinishaji wote katika kidadisi cha "Microsoft Office Activation Wizard" , au msimbo wote wa usakinishaji hauonyeshi kwa usahihi wakati unatumia Microsoft® Office Language Interface Pack 2010, tafadhali katisha sogora na badilisha kutumia Kiingereza cha bidhaa ili kuamilisha bidhaa yako ya Microsoft Office.