Social Icons

Pages

Sunday, December 9, 2012

SABABU YA KUISHI


Baada ya kuzaliwa .....
Ulizaliwa na mwanamke
Ulizaliwa katika dunia hii

Je, kuna ubora wowote
Kabla sijaandika barua hii

Subiria, chukua mapumziko .......
Fikiria ..... Ka na ufikiri kwa bidii!

SWAHILI VERSION OF "REASON TO LIVE" POEM


Je, Wewe ni nani?
Kwa nini uko hapa?
Ni nini lengo lako?
Kwani nini we utofauti?
Wapi ulipo na unapo enda?

Je umemaliza?

Kama huwezi kujibu hayo
Basi wewe umepotea .....
UMEPOTEA KABISA!!

Hauko peke yako
Wapo wengi waliopotea
Waliopotea katika ukungu huu
na kama una lengo
Utakuwa makini .....
Makini kufungua ukweli
Makini kuwasha taa katika hili giza
Makini kuvunja vifungo vya kupotea

Hizi ni sababu za Kuishi

Tafakari na jaribu kupata majibu
Haupo peke yako, dada kaka!
Wote tunajaribu kuishi
kuishi katika dunia hii.

No comments: