Orange
I am your color orange
In between red and yellow
Color hue unique thus 30 degree
Color orange they made a song
Orange a fruit among the Citrus
I give u them vitamin C
Netherlands, Orange Nassau,
building represents the royalty and history.
Hindus wear orange robes
While USA prisoners kept to wear to be seen.
National football team of Netherlands in orange
Orange color shine used in industry for safety.
Thanks giving in USA decorated in orange+blue
Many more I leave you, but i am your color dnt forget.
{SWAHILI}
Mi Rangi ya machungwa
Nimo kati nyekundu na njano
Kwenye rangi digirii 30 zamo
Rangi ya chungwa nimeimbwa nyimbo
Tunda chungwa kwa wa Citrus nimo,
Wakati Vitamin C kukupatia.
Nchini Netherland, Orange Nassau,
nyumba Wakilisha familia za kifahari historia.
Wahindu kuvalia rinda machungwa
Wakati USA wafungwa vikwa kuonakana
Netherland, timu za taifa wa miguu kuvalia
Rangi machugwa kungaa hutumika na wajenzi usalama
Thanksgiving rangi machungwa kurembwa USA familia
Mengi zaidi nakuachia, mimi rangi yako usinisahau
Rangi hii ni ya kifahari, matumizi na uvutio wake wakipekee.
Friday, January 22, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment